Admin , Sipendi Jinsi watu wanavyonisema kila nipitapo eti makalio yangu
ya Mchina wakati mimi nimezaliwa hivyo hivyo toka nikiwa mdogo makalio
yangu yalikuwa makubwa , kama unabisha uliza hata nilio soma nao shule
ya msingi , Ki kweli sipendi hiyo tabia ya watu kila wakiona mtu
amejaliwa basi eti ni fake wengine tumezaliwa hivyo jamani ..Khhaaaa
Wabongo Acheni Ushamba
By Camila, Sinza