![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEvnmmI6woU5OlkqOCyPBXM1XCBLDuWQ9VyzfcBFvzWv1jg4HXiHNGoLl2XJJOOcxitYpAMKia9nRjHrXx9TSMFKHu9KKPHGSoL0k9gbOjOpeUapWkHqpmDZe1YKL1iEzJx1FUlj3slcgQ/s1600/moza.jpg)
Polisi wamemkamata moza kwa kudaiwa kumdhalilisha mtangazaji wa kituo
TV1 ezden jumanne...uchunguzi ukikamilika ataburuzwa mahakamani muda
wowote...moza aliyekuwa mpenzi wa ezden na kuachwa alimrecord video hiyo
kipindi cha mahusiano yao...moza alikamatwa na kuwekwa mahabusu
oysterbay polisi....ezdee alisema mimi ni mtu ninayejiheshimu so kitendo
alichokifanya hakunitendea haki na amenidhalilisha...moza amedaiwa
kufanya hivyo baada ya kuachwa ili kumkomoa dida...mwisho wa
kunukuu.....INASEMEKANA MOZA KAMUANGUKIA EZDEE KUMUOMBA SAMAHANI NA
YAMEISHA SIJUI........MIMI BINAFSI NASEMA HIVI HAKUNA ASIYEJUA
MITANDAONI WASICHANA NDIO WANAONGOZA KWA KUDHALILISHWA KWA KURECORDIWA
AU KUPIGWA PICHA CHAFU...SIWEZI KULAUMU MOJA KWA MOJA ZINAPOTOKEA PICHA
CHAFU ZA MTU SABABU WENGINE WANARECORDIWA AU KUPIGWA PICHA WAKIWA HAWANA
TAARIFA KAMA HIVYO EZDEE HAKUWA NA HABARI SO MTU AKIPANIA ANAKUFANYIA
TU UBAYA....SASA IFIKE WAKATI WASICHANA MJITAMBUE USIKUBALI KUPIGWA
PICHA YA UTUPU HATA UKIGUNDUA UMEPIGWA BILA KUJIJUA KAMSHITAKI FASTA
MUHUSIKA AWE BADO MPENZIO AU MMEACHANA PELEKA POLISI FASTA MTU
ANAYEKUPENDA HAWEZI KUKUFANYIA HIVI....HATA KAMA MMEACHANA HANA HAKI YA
KUKUDHALILISHA HIVYO...MMEONA WANAUME WALIVYO NA MSIMAMO??....MKIWA
WAOGA MTAENDELEA KUSHIKA RECORD YA KUDHALILISHWA....
Usipojipanga Nitakupanga