akati huu hairuhusiwa kwa kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege kwani ni Hatari
Kitaalam mjamzito akishafikisha zaidi ya miezi saba ni hatari kusafiri kwa usafiri wa ndege kwani inaweza kusababisha presha ya mama kushuka kwa ajili ya kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani ..Hivyo masharika ya ndege yana utaratibu wao wa kuwakataza mama wajawazito wa miezi hiyo kusafiri kwa usafiri huo bila ruhusu ya daktari ..
Aunty alikuwa amepanga kujifungulia Marekani na alikuwa ameshajitayarisha kwa Safari hiyo.