Habari
zilizotufikia zinaarifu kuwa basi la Unique lenye namba za usajili
T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora limegongana uso kwa uso
na lori la kampuni la Cocacola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye
Shinyanga.
Watu 10 wamefariki na 50 wamejeruhiwa.Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Watu 10 wamefariki na 50 wamejeruhiwa.Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Mpekuzi blog