Hatimaye ile project iliyokuwa inasubiriwa kwa muda mrefu sasa kesho
ndio siku rasmini itakayo toka. Ambapo Ommy Dimpoz ame share picha
ikimuonyesha akiwa na Wema Sepetu kitandani kama wana peana kiss mdomoni
nakuandika "Tomorrow...Saa 4 Asubuhi kwenye TV na Radio zote Ndani na
Nje ya Nchi....#WANJERA"
Lakini pia hata Wema Sepetu ame share picha ikionyesha wamesimama na
Ommy Dimpoz wakiwa kwenye hali ya kimahaba na kuandika "Stay tuned...
tomorrow @10 am... Kweny radio na Tv zote....(Local & International)
I cant wait... Finally...!!Wanjera..!!!".