Some Weeks Ago Juma Jux aliweka Picha ikionyesha kipande cha nyumba yake
, picha hiyo ilitafsiriwa vibaya na baadhi ya mashabiki wake na
wengine kusema anajenga gala...Sasa leo amepost ikiwa inaonekana vizuri
na kusema haya
Major plans for my humble abode - home recording studio, gym and pool
and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate
#Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy