wambea wake kuwa muiagizaji huyo wa kichaga kwa sasa anawekwa mjini na jamaa mmoja mwenye pesa chafu ambae ni muuza magari anampa kila kitu Wolper ndio maana kwa sasa katulia tuli hana shobo na mtu ila tatizo ndio hiyo Dini tu ambayo inasemekana yupo radhi kuibadilisha kama jamaa atakuwa serious kufanya ndoa ...