Mwigizazi Lulu Michael Kuihama Bongo, Sasa Kuhamia Kenya

Habari za chini ya kapeti zilizoifikia Udaku Special Blog kuhusu mwigizaji Lulu Michael zinasema huenda siku za karibuni akahamia nchini kenya kikazi baada ya Kituo kimoja kikubwa cha Television kuvutiwa naye na kuamua kumpa kazi ya Utangazaji ..
Bila kutaja jina la kituo hicho cha Televion myetishaji wetu alisema mwakilishi wa Kituo hichi alitua hapa nchini kuweka mambo sawa..Inasemekama kituo hicho kilisha onyesha nia ya kumchukua muda mrefu na ndio maana Lulu Akawa Bize sana na Masomo ya kujifunza kingereza ili asije akaaibisha akienda huko kwa Kenyata