Wolper:Mwaka 2015 ni Mwaka wa Kujirusha na Kuisha Utakavyo



Mrembo na mwigizaji  wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper”  akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi,  aliandika maneno haya mara baada ya kubandika picha hiyio hapo juu;
2015 ni mwaka wakuish utakavyo na huu ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu bwana nazikubali sana
Hii kwako imekaaje?
Mie namuunga mkono kabisa nakusema haya hapa chini:
 ‘You’ve gotta dance like there’s nobody watching,
Like like you’ll never be hurt,
Sing like there’s nobody listening,
And live like it’s heaven on earth.’