Week end hii iliyopita Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan
wamekuwa busy sana kumspoti Ali Kiba na Kumpromote kwenye page zao za
Instagram kitu ambacho si cha kawaida na kimechukuliwa kuwa wawili hao
wamepanga kufanya hivyo kumuumiza Diamond na Zari ...Wengi wamehoji
iweje Mganda Huyo aliyekuwa mume wa Zari ghafla tu aanze kushabikia
Bongo Flava na huku Wema nae Akiwa Busy kuposti Promotion za Kuwaambia
watu wampigie kura Ali Kiba asimu wa Diamond?...Je Wameambizana? Je nini
Kina endelea Kati yao Kwa Siri??
Angalia Picha Hizi kutoka katika Page zao za Instagram :
|
Posts za Mume wa Zari |
Post za Wema Sepetu