![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCiFHgTHWPdGPNjsNql_r2pgpc1IPhR49u3Bv_pMvHjYD4GpPkoew1UduiIM6ocL6RiWjvz2smpvamtcTMhhxbN9RzF0RXBl2VGGNWNEBiaJwam4fgvH4aIAjkmCRTqhQFYeL-5P-Locvr/s640/ommy-dimpoz-wanjera-610x400.png)
Baada
ya Video mpya ya Ommy Dimpoz Kutoka Jana Baadhi ya Watu wakiwemo
bloggers Maarufu kama U-turn Wameendeleza kuponda tunzi na melody za
nyimbo zinazotolewa hivi sasa hasa kutoka kwa wanamuziki wakubwa
..Tukija kwenye hii nyimbo mpya ya Ommy Dimpoz ya Wanjera Wengi wamesema
hakuna jipya kwenye wimbo na mashairi ila Video imetokea bomba hasa
ukichukulia na uwepo wa Wema Sepetu ndani yake ... ...Bado msisitizo wa
wasanii wakubwa kukubali kutungiwa nyimbo unawekwa ili kupata ladha
tofauti ...Je wewe una maoni gani??