Uwiiiii tatenaneeeee, mambo yamefika mahala pake, Moza alikamatwa
monday na kuwekewa dhamana jumatano na kesi bado inanguruma, haaa picha
linaanza pale ambapo yeye mwenyewe anakataa oooh sio mie niliochukua ile
video ze police wakamuuliza pale ni kwako YES so nani alichukua video
sio miee, nasubiria movie iendeleee haki vile palipofika nimefurahi
hatimaye TCRA watalifanyia kazi si kwa wanaume /wanawake hii ni kwa wote
wanaowadhalilisha watu umelala na mtu halafu unamrekodi ili iweje??
kama sio kudhalilishana ni nini kwa kweli im so hapyyyyyyy na TCRA big
up kwa ku follow up this case, its high time vimbelembele wavitulize
NB
mwanamke/mwanaume mwenye akili zake hawezi kufanya hivi ukiona mtu anafanya hivi ujue maisha yake hajielewi of-course she/he got nothing to lose, jamani hata Ezden mwenyewe nilivyoongea naye katika simu nimemwambia na nyie muangalie na wanawake wa kutoka nao jamani khaaaaa.
~Sintah