Kijana anayejulika kama Mayunga ameitoa kimasomaso Tanzania
baada ya kushinda shindano la music lijulikanalo kama Airtel Trace
Music lililoshirikisha nchi kumi na mbili za Africa , shindano hilo
lilifanyika jumamosi iliyopita nchini Nairobi ..Kwa ushindi huo Mayunga
amepata deal la kuwa chini ya Record label ya Mwanamuziki Akon
ijulikanayo kama Kon live na Universal music Group.... Mayunga
anaungana na kina Diamond na Idriss katika kuitangaza Tanzania vizuri
katika ramani ya Dunia kwenye maswala ya burudani