Nimemfatilia channel ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na
mamia ya waumini wake.. Kati ya mambo yaliyonistaajabisha ni lugha ya
matusi.
Anasema habari ya mjini kwa sasa ni kusali.. Ila anamalizia kwa
kuwaambia vijana wanaosema kila siku ni yale yale kanisani kwamba
''ibada haifanani acha ufala''.
Hili neno ufala ni tusi au mi ndo sijui kiswahili...?