Jack Wolper Aonyesha Nguo yake ya Ndani Sidiria na Kuandika ‘He Love’z My Style’

Kweli Mrembo na Mwigizaji Jack Wolper ni Stylish Kama Anavojiita kwenye ukurasa wake wa Instagram, Hivi Karibuni amepost picha akionyesha nguo ya ndani aina ya sidiria na Kuandika Maneno haya Hapa chini:



“People will stare .Make it Value Their While baby. he like’z My style”

Baadhi ya Comments Katika Picha Hiyo hizi Hapa:

amani_john
kunakipindi ulikuaga unavaa vzuri cjui,sijui kwa nn umeacha kuvaa vle..

abeljy
Sweatyyy;!!!!!ee bwana we ni mzuri tuache tu unfiki

love_lucie_crazzy_baby911
Hapo sasa ..!! Me like thiss style ..! Huge up kwako @wolperstylish