Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake
kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni
mjamzito.
Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi
wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya
hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.