“Day well spent.... With the Love of my Life.... Reason y I want a baby boy.... Cause I already have my girl... Love her too much.... My flesh and blood....” –Wema aliandika hayo mara baada ya kuweke picha hiyo hapo juu.
Kitendo ambacho wengi walikiona bado lile tatizo lake la kutokuwa na uwezo wa kushika mimba linamsumbua kisaikologia mwanadada huyu na hivyo wengi walimpa moyo na kumshauri aendelee kutafuta wa taalamu zaidi na Mungu atamsaidia.