Leo hii raisi wa kenya amewasimamisha kazi wa kuu wa chombo kinacho
simamia udhibiti wa ufisadi pale nchini kenya,yaani mwenyekiti na makamu
wake.Sababu kuu ni moja tu,wameshindwa kuwajibika ipasavyo kupambana na
ukosefu wa maadili na kukithiri kwa ufisadi kenya. swali? hapa Tanzania
tatizo lipo wapi? Vyombo vya Kudhibiti vimelala ufisadi sana zaidi ya
sana ....