Kwa mujibu wa ITV watoto hao wengine waliletwa na wazazi ambao hawakuwaeleza ukweli wazazi wenza wenzao na wengine walikuwa wametoroshwa bila habari zao kufahamika.
Kisichofahamika mpaka sasa ni kwa nini mafunzo hayo yawe yawe ya siri? Jee hii inatofauti gani na yale ya Nijeria ya kuteka watoto inayofanywa na Boko Haramu?