Picha za Wema Mpya Alizoweka Jana kwenye Mtandao wa Instagram Akiwa 
arusha na Mashabiki wake zimezua Mjadala huko Instagram Huku wengi 
wakimsifia kwa jinsi alivyopendeza na mkata huo wa nguvu baadhi ya 
wachache ambao inaaminika ni mashabiki wa Zari walitoa maoni yao na 
kusema kumbe hata wema hana nywele za mbele kama Zari ...ikumbukwe 
kipindi cha nyuma Team Wema Sepetu Walikuwa wakimkejeli Zari kuwa 
anakipara .....
Je Wewe Msomaji Una Maoni Gani ? Angalia Picha zingine Hapa Chini: