Nusura Shabiki Ambake Ben Pol Jukwaani , Mziki Wamnogea na Kushindwa Kujizuia


Shabiki kidogo akubake jukwaani? (Utani) Kanogewaa mpaka ukajaribu kujinasua!! Hongera kwa show nzuri Dodoma hadi @bdozen kakiri hiyo ilikua bonge la show kuliko zote aliwahi kufanya...tunatarajia zaidi, achia hiyo SOPHIA video basi..