Ney wa Mitego Apima Ngoma Kwa Hiari Ayaweka Majibu Yake Hadharani..Majibu Haya Hapa

Hongera Ney Wa Mutego na wengine waige mfano wako! Sio lazima mtubandikie majibu kwa mitandao lkn iwe utaratibu kupima afya ili ujipange kimaisha... na isiishie kwa HIV tu, magonjwa ni mengi ni muhimu kujifahamu kuepukana na mengi.

Majibu yake Ndo haya Hapa chini:

Afya njema ndo mpango mzima!