MTAZAMO:Diamond Platinumz Huna Uwezo ni Promo Zinazokubeba Katika Muziki

Diamond Platnumz
Diamond ni moja ya wanamziki wanaojulikana lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa hajui kutunga nyimbo nzuri na zenye mvuto nyimbo zake za kawaida sana mfano.

Nitampata wapi halafu ukisoma jina lake tu unajua ameongelea nini, hazimpi changamoto msikilizaji. huyu Diamond anabebwa sana na promo na ndio maana anatumia gharama kubwa kufanya promo huku akitumia gharama ndogo kutunga nyimbo,ajaribu kumuiga King Kiba.

Written By Lukelo Sakafu-JF