.jpg) |
Gwajima na Team yake |
Pamoja na leo kipande cha sauti kusambaa kuwa Gwajima angejisalimisha
Jumatatu kwa kuwa kwa sasa yupo Arusha na kuwataka waumini wake kufika
polisi Jumatatu bila kufanya vurugu. Kwa sababu ambazo hazijatolewa
bado, askofu Gwajima amejisalimisha kituo cha Polisi tayari leo Ijumaa
ili kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa
Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.