BONGO MAGAZNE Blog: Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa
amekuja kivingine na mwingine, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya
watu wanaosema hawa mpendi na kumchukia lakini bado wanapeleleza na
kumfualitia kila anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki kumchafua
kwa maneno machafu....
amewaita jina baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye matawi yake....
“If u say u Hate me and still come spying on what i post plus create
fake accounts to insult me, BI..CH you actually Envy me... Gnyt now....”
Wema aliandika maneno haya mtandao jana usiku.
Nadhani ujumbe umefika!!!