muhaya, is it that our malehood una walakini? I understand kuna certain stigma's attached to wahaya, lakini hello, for god's sake, hii ni karne mpya, and on top sisi ni generation mpya.
Sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort kwani tuna shida gani ?
Naombeni majibu ndugu zangu