Vijimambo: Nanenepa Kimasogange Masogange,Kisa Chips za Mpemba-Nisha


Mwingizaji wa filamu mwenye vituko, Salma Jabu  ‘Nisha’ alibandika picha yake matandaoni ikimuonyesha jinsi alivyo mnono kwa sasa na kuandika  haya;

"Dah mbona km sijielewi au sio mm??? Ok nimekumbuka chips za mpemba zinafanya kazi dah!!!sa mbona nanenepa kimasogangee masogange mhhhh si kwa kibuno hiko loool.. niacheni nijiambie mwnyw maana mtakua hamnambii."

Usikose filamu mpya ya mkali huyu, inayokwenda kwajina la SHIDA amabayo siku ya kesho inaingia sokoni.