Team Zari Walipa Mapigo Haya Sasa Picha za Wema Sepetu za Kurudia Nguo Zawekwa Hadharani


Baada ya Team Wema Sepetu Kuweka Picha Mtandaoni zikionyesha Zari kuwa huwa anarudia nguo moja mara kwa mara na kumponda na Kusema ni Lady boss wa Aina Gani ..Team Zari na wenyewe wameibua Picha mbali mbali za Wema Sepetu Zikionyesha Amerudia Nguo Kadhaa Katika Matukio Tofauti Umbu Jionee .....

Una Maoni Gani Kuhusu Hili na hizi Team Mbili ?