Siku zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The
Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa
mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza
‘very pregnant’.
Mrembo huyo wa Uganda ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Facebook
inayomuonesha jinsi kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa. Jionee picha
zake zaidi hapo chini.