Tukiwa tunaendelea na shamra shamra za kuadhimishwa miaka 38 ya CCM
yanayofanyika kitaifa mkoani Songea ktk uwanja wa Majimaji na mgeni
rasmi akiwa prof. Jakaya Mrisho Kikwete, Umati wa watu uliofurika
uwanjani hapo maelfu ya watu yameibuka na shangwe na miruzi pale JK
alipo sema "hakuna mwanamziki mkubwa AFRIKA kama DIAMOND PLATNUMZ".
Je Unakubaliana na Kauli ya Prof Kikwete ?