Lulu Michael Mrembo wa Bongo Flava amezidi mwagiwa sifa Kede kede
mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo
anakabiliwa na kesi ya........ mauaji ya bila kukusudia ya marehemu Kanumba , Watu
wamempa sifa na kusema toka atoke mahabusu kwa dhamana amezidi kuwa
mrembo zaidi..Wapo wanaotania na kusema amezidi kuwa Mtamu kama
Mcharo!!!!