Udaku Special Blog: Baada ya diamond the platnumz kupost picha na
kuwaambia mashabiki wamchagulie kama anataka mtoto wa kiume au wa kike,
katika mtandao wa kijamii wa instagram ilioneka moja wa shabiki wa Wema
huko insta analotumia jina la wemaselfie hakukubaliana na kitendo hicho
na kuyaandika maneno ya fuatayo:
'
Yani sijawahi kuona.. mtuu anae pend attention kama blaza
domo... dah... sumtz na wish wa tanzania wampoteze...! Juzi kati ulipo
post hile pic ya Utrasound... "i cnt wait to meet u chibu junior" jana
unapost... pic ya watoto wa 2 " which baby r u wishin us to have?