Wengine wanasema Ujauzito umechangia Mapenzi kuwa Moto moto kwani Diamond ilikuwa ni Ndoto zake siku moja aje apate mtoto sasa hao wengine walikuwa hawataki kumzalia Diamond...
Dimaond Ameandika haya kwenye Ukurasa wake wa Instagram:
'She had never been to zanzibar so i had to take her there to experience the beauty of Tanzania...
(Alisema hajawai fika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu...) jus #earlierToday #ValentineWeekEndInZanzibar'
Wale wa ndimu Zipo, Najua kina wauma sana!!!