Kivazi alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram.
Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee alitupia picha hiyo jana katika
akaunti yake ya Instagram ambapo alitupia na maneno ya kizushi akisema:
'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.