Kijana Ajiua kwa Kujinyonga Baada ya Matokeo ya Kidato cha nne Kumjia Vibaya.

Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la John Maduhu wa kijiji cha Pandagichiza, wilaya ya Shinyanga vijijini amekatisha maisha yake kwa kuamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne kumjia vibaya...

My Take:
Yapaswa kuwepo utaratibu wa kuwaandaa watoto kisaikolojia ili wayakubali matokeo na kutafuta mbinu za kurekebisha penye udhaifu ama kuwaweka tayari kwa Plan B kama Masomo yakigoma.