Udaku Special Blog: Diamond ameshtua Mashabiki wake tena baada ya
kupost picha ya gari kali na la gharama sana duniani Aina ya Rolls
Royce kwenye Page yake ya Instagram
Maswali mengi ...
yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake?