Doreen video model wa Ice cream by
Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za
kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka
kupata matibabu. Hivi sasa Ray
C ame post picha ya Doreen na kuonyesha jinsi alivyobadirika baada ya
kupata matibabu. Hapo chini ni picha kabla hajapata matibabu na ya juu
ni Doreen mpya. Caption ya chini aliandika Ray C baada ya kupost
muonekano mpya wa Doreen