Wema Sepetu. LICHA ya kuwa
waliwahi kupokonyana bwana (Nasibu Abdul ‘Diamond’), mwigizaji Wema Sepetu na
mtangazaji Jokate Mwegelo wamekutana katika msibani na kupiga stori. Kwa mujibu
wa meneja wa Wema, Martin Kadinda, Jokate aliibuka Jumanne iliyopita usiku
kwenye msiba wa baba Wema uliochukua nafasi nyumbani kwao Sinza-Mori jijini Dar
na kumfariji hadi usiku mnene.