Chama cha mapinduzi CCM kesho tarehe 1 Feb 2015 kinaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwake mjini songea mkoani Ruvuma......
Kundi la TOT ambalo linamilikiwa na CCM litakuwepo mjini songea
kutumbuiza na mwanamuziki Diamond Plutinumz amekubali kutumbuiza baada
ya chama cha CCM kukubaliana naye kwa shingo upande kumlipa milioni
hamsini (50 mil.) ili Diamond atumbuize kesho.