Shanga Ni Ishara Hasa Kwa Wanawake Wa Pwani Ya Tanzania,wanawake Wengi
Hupenda Kuvaa Shanga Kuashiria Kitu. Mfano Akivaa Nyekundu Anaashiria
Kuwa Yupo Siku Zake Hawezi Kufanya Mapenzi, akivaa Nyeupe Yupo Free
Anaweza Kufanya Mapenzi Na Akivaa Nyeusi Huashiria Yupo Free Lakini
Hawezi Kufanya Mapenzi.
Katika Uvaaji Wa Shanga Kuna Makundi Mawili Kundi La
Kwanza Huvaa Shanga Kwa Ajili Ya Kumvutia Mwanaume Pindi Anapomvulia
Nguo Mwanaume, kundi La Pili Huvaa Shanga Kwasababu Ngozi Zao Zimepoteza
Hisia Kwa Ajili Ya Kushikwa Mara Kwa Mara Na Mikono Ya Kiume. Hivyo
Anapovaa Shanga Zinamsaidia Kuamsha Hisia Pindi Mwanaume Anapozichezea
Vilevile Shanga Huleta Msisimuko Kwa Mwanamke Ambao Humfanya Ajisikie
Raha Isiyo Kifani Ndio Maana Wadada Wengi Hupenda Kuzivaa.
Pia uvaaji wa shanga unaendana na utandikaji wa mashuka,mpenzi wako
akitandika shuka jeupe/jeusi/jekundu huwa ana maana yake hivyo yakupasa
kumuelewa