Mbali nakua comfortable pindi uzivaapo wadau wanasema zinasababisha
magonjwa kutokana na muingiliano wa kamba sehemu ya anus inayotembea
mpaka sehemu ya uke.
Je bacteria walioko mle wanaeza kuingia na kushambilia uke? Je pia
kutokana na unyevu unyevu wa kambani ule unaweza ukapitisha mpaka ukeni
na kuleta fangasi?