Vijimambo: Mwigizaji wa filamu na mrembo mwenye kujivunia rangi
yake, Lucy Komba ambae kwasasa anaishi Ulaya pamoja na mumewe Janus,
usiku wa jana alibandika picha hizi mtandaoni akiwa anadendeka na mumewe
wakiwa sehemu ya wazi na kuandika maneno ambayo bila shaka walengwa
wamemuelewa.
“Zisikutishe kelele za mende wakati kunguru akikuona anakukimbia kwa woga”-Lucy aliandika.
Wadada wa town wanakwambia kwa picha hizi bidada amemaliza,watu
wasiowapenda na kuleta figisu figisu lazima watafute ndimu...kwani limao
hapa mjini zimebaki za kuungia mboga tu.
Mzee wa Ubuyu