Huyu jamaa ni nadra sana kumuona hadharani...Jana Katika Uzinduzi wa
Studio Mpya za Azam TV , Mfanya Biashara huyo alijitokeza na kukutana na
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Live......
Haya Bakheresa Ndio Huyo ..Najua wengi mlikuwa hamjawahi kumuona...