Kigogo Mbaroni Mwanza Mauaji ya Albino na Fedha za Bandia

Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti Mengi yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais bila kumtaja Jina

Je ni Kigogo Gani Huyo ? na anatoka Chama Gani ? Kama Mdau Unajua Embu Tupia Jina Hapa