Kifo cha Captain Komba Chamfungua Macho Lemutuz..Aanza Kupunguza Unene wa Mwili

LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK!!;- Morning people U know binadam mwenye akili siku zote hujifunza kwa kuona bila kusubiri kuambiwa.....sihitaji kuambiwa kulichomuua Captain Komba for sure after all is said and done kilichomuua ni UNENE tu hamna lolote lingine I mean kama ni ugonjwa ulianzia kwenye UNENE....now I took a note na tayari nimeshaanza mazoezi tena leo asubuhi I realiza that nilikuwa nimejizembea sana toka nirudi bongo lakini now I got a wake up call na msiba wa Komba.....na it is my hope kila mtu mwenye akili timamu amejifunza wala huhitaji kuambiwa na mtu kwamba Moyo wa Marehemu lazima ulikuwa umezidiwa na mafuta....I mean wote tutakufa anyways ila ni muhimu kuchukua tahadhari badala ya KUJIUA mwenyewe!, PEOPLE KAMA NI MNENE KULIKO INAVYOTAKIWA CHUKUA TAHADHARI ANZA MAZOEZI! CHANGE YOUR LIFESTYLE NOW! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA! - le Mutuz