Askofu Kakobe aliyasema hayo alipokuwa akihubiri kanisani kwake na kumtolea mfano Mwimbaji Rose Mhando na kusema hana sifa za ulokole kwa kuwa anawachezesha wanaume kwa kukata mauno kwenye nyimbo zake , Amesema "Hivi kweli mtu kama Rose Muhando unaweza sema ameokoka ..embu tuache utani na kumrudia Mungu Jamani"