Mwimbaji Flora Mbasha Ajifungua Mtoto, Hongera Sana

Habari tulizozipata kupitia mitandaoni ni kuwa Mwanamuziki Flora Mbasha Amejifungua mtoto , Bado hatujaweza kujua ni mtoto gani, Picha akiwa Hospitali na zingine zikimuonyesha mtoto hizi Hapa:




Hongera Sana Flora Mbasha