"Ok huwa sipendi maneno matupu napenda vitendo zaidi kuna mtu amenitumia
ujumbe kwamba badala kugombea jina lako kuwa at Le Kopozzz pigania jina
lako liwepo kwenye kumiliki HATI YA NYUMBA., namhakikishia aliyenitumia
ule ujumbe kwamba HATI YANGU YA KUMILIKI SHAMBA LA EKA 5 NA NYUMBA hii
hapa na huu ni mmoja wa urithi nitakaowaachia watoto wangu na bado
naendelea kuchacharika na maisha kusudi ninunue hii apartment ninayoishi
hapa downtwon na ile apartment yangu ya Changombe......sisi waKristo
Bibilia inasema Baba mwenye busara huwachia watoto wake mali za urithi
ndio maana nimekataa kuwa baba mwenye nguo ila baba mwenye majumba
hahaha U know jamani USIKU MWEMA SANA LOVE U ALL! - le Mutuz