Ikulu ni kwa kina Diamond na Idris na si kwa Wanaharakati watatu toka Geita

Wakuu Habari
Nimefikiri kwa umakini juu ya kuzuiwa kwa wanaharakati watatu tokea Geita kumuona raisi kwa kutokuwa na kibali cha kufanya hivyo.Lakini tumeona ni kawaida kwa watu kama Diamond,Ray C,Idris,Juma Nature,Said Fela pale ni kama nyumbani...sasa napata jibu kuwa ikulu ni kwa kina Diamond tuu na si mapacha watatu toka Geita.kwan hata yule




Kijana aliyeruhusiwa kuingia ikulu baada ya kuendesha baiskel toka kijijini kwao nia yake ilikuwa kumpongeza Raisi ndomana hakupata kikwazo.